1 Wafalme 1:53 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 53 Basi Mfalme Sulemani akatuma watu, nao wakamshusha kutoka juu ya madhabahu. Kisha akaingia na kumwinamia Mfalme Sulemani; halafu Sulemani akamwambia: “Nenda nyumbani mwako.”+
53 Basi Mfalme Sulemani akatuma watu, nao wakamshusha kutoka juu ya madhabahu. Kisha akaingia na kumwinamia Mfalme Sulemani; halafu Sulemani akamwambia: “Nenda nyumbani mwako.”+