-
2 Mambo ya Nyakati 3:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mabawa ya hao makerubi yalikuwa yamenyooshwa urefu wa mikono 20; nao walikuwa wamesimama kwa miguu yao, nyuso zao zikielekea upande wa ndani.
-