Ezra 10:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ndipo Ezra akasimama, akawafanya wakuu wa makuhani, Walawi na Israeli wote waape+ kufanya kulingana na neno hilo. Basi wakaapa.
5 Ndipo Ezra akasimama, akawafanya wakuu wa makuhani, Walawi na Israeli wote waape+ kufanya kulingana na neno hilo. Basi wakaapa.