-
Esta 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Na kuhusu wakati wa kunywa kulingana na sheria, hakuna aliyekuwa akilazimishwa, kwa maana hivyo ndivyo mfalme alivyokuwa amepangia kila mtu mkuu katika nyumba yake, kila mtu atende kama anavyopenda.
-