-
Ayubu 9:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kama ningekuwa upande wa haki, kinywa changu mwenyewe kingenitangaza kuwa mwovu;
Kama ningekuwa bila lawama, basi yeye angenitangaza kuwa mpotovu.
-