Yeremia 38:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Ndipo Yeremia akamwambia Sedekia: “Ikiwa nitakuambia, je, hutaniua bila shaka? Na ikiwa nitakushauri, wewe hutanisikiliza.”+
15 Ndipo Yeremia akamwambia Sedekia: “Ikiwa nitakuambia, je, hutaniua bila shaka? Na ikiwa nitakushauri, wewe hutanisikiliza.”+