Yeremia 39:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Na wakuu wote wa mfalme wa Babiloni wakaingia na kuketi katika Lango la Kati,+ yaani, Nergal-shareza, Samgar-nebo, Sarsekimu, Rabsarisi, Nergal-shareza yule Rabmagi na wakuu wengine wote wa mfalme wa Babiloni. Yeremia Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 39:3 g 5/09 11 Yeremia Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 39:3 Amkeni!,5/2009, uku. 11
3 Na wakuu wote wa mfalme wa Babiloni wakaingia na kuketi katika Lango la Kati,+ yaani, Nergal-shareza, Samgar-nebo, Sarsekimu, Rabsarisi, Nergal-shareza yule Rabmagi na wakuu wengine wote wa mfalme wa Babiloni.