-
Yeremia 41:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha ikawa kwamba mara tu watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, wakaanza kushangilia.
-