-
Yeremia 41:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Sasa Yohanani+ mwana wa Karea na wale wakuu wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye wakachukua yale mabaki yote ya watu ambao walikuwa wamewarudisha kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania, kutoka Mispa, baada ya yeye kumpiga na kumuua Gedalia+ mwana wa Ahikamu, watu hodari, wanaume wa vita, na wake na watoto wadogo na maofisa wa makao ya mfalme, ambao alirudisha kutoka Gibeoni.
-