-
Yeremia 43:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Naye hakika atavunja vipande-vipande nguzo za Beth-shemeshi, lililo katika nchi ya Misri; na nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza kwa moto.”’”
-