-
Ezekieli 5:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema, ‘Huyu ni Yerusalemu. Katikati ya mataifa nimemweka, kukiwa na nchi zinazomzunguka pande zote.
-