-
Ezekieli 16:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Na kukuhusu wewe jambo lililo kinyume linatukia tofauti na walivyo wanawake wengine katika matendo yako ya ukahaba, na hakuna ukahaba ambao umefanywa kama wa mtindo wako, naam, kwa wewe kutoa malipo wakati ambapo hakuna malipo uliyopewa, na kwa hiyo mambo yanatukia kinyume.’
-