Ezekieli 31:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Ni maji yaliyoufanya uwe mkubwa;+ kilindi cha maji kiliufanya urefuke. Pamoja na vijito vyake kilikuwa kikienda kuzunguka pande zote mahali ulipopandwa; nacho kiliipeleka mifereji yake kwenye miti yote ya shambani.
4 Ni maji yaliyoufanya uwe mkubwa;+ kilindi cha maji kiliufanya urefuke. Pamoja na vijito vyake kilikuwa kikienda kuzunguka pande zote mahali ulipopandwa; nacho kiliipeleka mifereji yake kwenye miti yote ya shambani.