-
Ezekieli 34:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Nao kondoo zangu, je, wajilishe kwenye malisho mliyokanyaga-kanyaga kwa miguu yenu na kunywa maji yaliyochafuliwa kwa kukanyagwa-kanyagwa kwa miguu yenu?”
-