-
Ezekieli 40:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Naye akapima upana kutoka upande wa mbele wa lango la chini mpaka mbele ya ua wa ndani. Upande wake wa nje ulikuwa mikono mia moja, upande wa mashariki na upande wa kaskazini.
-