-
Ezekieli 40:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na palikuwa na madirisha kuzunguka pande zote juu yake na juu ya ukumbi wake, kama madirisha hayo. Urefu wake mikono 50, na upana wake mikono 25.
-