-
Ezekieli 40:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Naye akanileta hatua kwa hatua mpaka ndani ya ua wa ndani kupitia lango la kusini. Naye akalipima lango la kusini kwa vipimo sawa na hivi.
-