-
Ezekieli 40:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Navyo vyumba vyake vya walinzi na nguzo zake za kando na ukumbi wake vilikuwa na vipimo sawa na hivi, hilo na ukumbi wake lilikuwa na madirisha kuzunguka pande zote juu. Urefu wake mikono 50, na upana wake mikono 25.
-