-
Ezekieli 40:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za pembeni, na ukumbi wake ulikuwa na ukubwa sawa na malango mengine, na kulikuwa na madirisha kila upande na pia kwenye ukumbi. Urefu wake ulikuwa mikono 50 na upana wake mikono 25.
-