-
Ezekieli 42:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Nao ukuta wa mawe uliokuwa nje ulikuwa karibu na vyumba vya kulia chakula kuelekea ua wa nje mbele ya vile vyumba vingine vya kulia chakula. Urefu wake ulikuwa mikono 50.
-