-
Ezekieli 42:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Ukuta wa nje wa mawe uliokuwa karibu na vyumba vya kulia chakula kuelekea ua wa nje uliotazama vile vyumba vingine vya kulia chakula ulikuwa na urefu wa mikono 50.
-