-
Ezekieli 46:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 “Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema hivi, ‘Mkuu akimpa zawadi kila mmoja wa wanawe iwe urithi wake, huo wenyewe utakuwa mali ya wanawe wenyewe. Hiyo ndiyo miliki yao kulingana na urithi wao.
-