-
Ezekieli 46:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Naye akanitoa nje mpaka kwenye ua wa nje na kunipitisha kwenye ile miimo minne ya pembeni ya ule ua, na, tazama! kulikuwa na ua karibu na mwimo huu wa pembeni wa ule ua, ua ulio karibu na mwimo ule wa pembeni wa ua.
-