-
Ezekieli 46:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Katika ile miimo minne ya ua kulikuwa na nyua ndogo, zenye urefu wa mikono 40 na mikono 30 upana wake. Zote nne zikiwa zina miundo ya pembeni zilikuwa na kipimo kilekile.
-