-
Ezekieli 47:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Ndipo akaniambia: “Je, umeona hili, Ee mwana wa binadamu?”
Kisha akanitembeza na kunirudisha kwenye ukingo wa kijito hicho.
-