-
Ezekieli 47:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na itatukia kwamba katika kabila ambalo mkaaji mgeni anakaa akiwa mgeni, hapo ndipo mtakapompa urithi wake,” asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.
-