-
Ezekieli 48:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “Na sehemu iliyobaki itakuwa ya mkuu,+ upande huu na upande ule wa mchango mtakatifu na wa miliki ya jiji,+ kando ya mikono 25,000 ya mchango mtakatifu kuelekea mpaka wa mashariki; na upande wa magharibi kando ya mikono 25,000 kuelekea mpaka wa magharibi.+ Kama yalivyo mafungu hayo, ndivyo itakavyokuwa kwa ajili ya mkuu. Na mchango mtakatifu na patakatifu pa ile Nyumba patakuwa katikati yake.
-