-
Danieli 11:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Lakini kwa mungu wa ngome, katika cheo chake atampa utukufu; na kwa mungu ambaye baba zake hawakujua atampa utukufu kwa dhahabu na fedha na mawe ya thamani na vitu vyenye kutamanika.
-