-
Amosi 2:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Tazama, mimi nakifanya kile kilicho chini yenu kiyumbe-yumbe, kama vile linavyoyumba-yumba gari la kukokotwa ambalo limejazwa kabisa mafungu ya nafaka iliyokatwa hivi karibuni.
-