Amosi 7:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Kisha Amazia akamwambia Amosi: “Ewe mwonaji,+ nenda, kimbia uende zako kwenye nchi ya Yuda, ukale mkate huko, na huko unaweza kutoa unabii. Amosi Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 7:12 w04 11/15 13 Amosi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:12 Mnara wa Mlinzi,11/15/2004, uku. 13
12 Kisha Amazia akamwambia Amosi: “Ewe mwonaji,+ nenda, kimbia uende zako kwenye nchi ya Yuda, ukale mkate huko, na huko unaweza kutoa unabii.