-
Zekaria 13:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Na mtu atamwambia, ‘Haya majeraha mwilini mwako kati ya mikono yako ni nini?’ Naye atajibu, ‘Ni yale niliyotiwa nyumbani mwa wale wanaonipenda sana.’ ”
-