-
Mathayo 1:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Lakini baada ya yeye kuwa amefikiria-fikiria mambo haya, tazama! malaika wa Yehova alionekana kwake katika ndoto, akisema: “Yosefu, mwana wa Daudi, usiogope kumpeleka Maria mke wako nyumbani, kwa maana kile ambacho kimezaliwa ndani yake ni kwa roho takatifu.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Maria anapata mimba kupitia roho takatifu; jinsi Yosefu alivyotenda (gnj 1 30:58–35:29)
-