-
Mathayo 5:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Hata hivyo, ninawaambia ninyi kwamba kila mtu anayeendelea kuwa na ghadhabu+ na ndugu yake atatoa hesabu+ mahakamani; lakini yeyote yule anayemwambia ndugu yake neno la dharau lisilosemeka atatoa hesabu katika Mahakama Kuu Zaidi; na yeyote yule anayesema, ‘Wewe mpumbavu wa kudharauliwa!’ atastahili Gehena* ya moto.+
-
-
Mathayo 5:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Hata hivyo, mimi nawaambia nyinyi kwamba kila mtu aendeleaye kuwa na hasira ya kisasi na ndugu yake atapaswa kutoa hesabu kwa mahakama ya kuamulia haki; lakini yeyote yule amwambiaye ndugu yake neno la dharau lisilosemeka atapaswa kutoa hesabu kwa Mahakama Kuu Zaidi; hali yeyote yule asemaye, ‘Wewe baradhuli!’ atakuwa mwenye kustahili Gehena ya moto.
-