-
Mathayo 5:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 “Uwe na nia ya kusuluhisha mambo upesi pamoja na mlalamishi wako anayekushtaki mahakamani, wakati wewe uwapo pamoja naye njiani kwenda huko, ili kwa njia fulani mlalamikaji asipate kukukabidhi kwa hakimu, naye hakimu kwa hadimu wa mahakama, nawe utupwe ndani ya gereza.
-