-
Mathayo 5:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 ili mpate kujithibitisha wenyewe kuwa wana wa Baba yenu aliye katika mbingu, kwa kuwa yeye hufanya jua lake lichomoze juu ya watu waovu na wema na kufanya mvua inyeshe juu ya watu waadilifu na wasio waadilifu.
-