-
Marko 6:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Lakini Yesu akaendelea kuwaambia: “Nabii hakosi kuheshimiwa ila katika eneo lake la nyumbani na miongoni mwa jamaa zake na katika nyumba yake mwenyewe.”
-