-
Marko 6:55Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
55 nao wakakimbia kuzunguka eneo lote hilo na kuanza kuwachukua huku na huku juu ya vitanda wale waliokuwa wakiugua mpaka kule walikosikia alikuwako.
-
-
Marko 6:55Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
55 nao wakakimbia kuzunguka mkoa wote huo na kuanza kuwachukua huku na huku juu ya vitanda wale waliokuwa wakiugua hadi kule walikosikia alikuwako.
-