-
Marko 6:56Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
56 Na kokote alikokuwa akiingia vijijini au majijini au mashambani walikuwa wakiweka wale wagonjwa katika mahali pa masoko, nao walikuwa wakiomba ili wapate kuugusa tu upindo wenye matamvua wa vazi lake la nje. Na wengi kadiri walivyougusa wakaponywa.
-