-
Marko 14:70Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
70 Tena akawa akikana hilo. Na mara nyingine zaidi baada ya muda kidogo wale waliosimama kando wakaanza kumwambia Petro: “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana, kwa kweli, wewe ni Mgalilaya.”
-