-
Luka 7:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Basi mtu mmoja wa Mafarisayo alifuliza kumwomba ili ale mlo-mkuu pamoja naye. Basi akaingia katika nyumba ya huyo Farisayo na kuegama kwenye meza.
-