-
Luka 7:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Ndipo akamgeukia huyo mwanamke na kumwambia Simoni: “Wamwona mwanamke huyu? Niliingia katika nyumba yako; wewe hukunipa maji kwa ajili ya miguu yangu. Lakini mwanamke huyu alilowesha miguu yangu kwa machozi yake na kuyafuta kwa nywele zake.
-