- 
	                        
            
            Luka 7:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        44 Ndipo akamgeukia yule mwanamke na kumwambia Simoni: “Unamwona mwanamke huyu? Niliingia katika nyumba yako; hukunipa maji ya kuosha miguu yangu. Lakini mwanamke huyu aliiosha miguu yangu kwa machozi yake na kuifuta kwa nywele zake. 
 
- 
                                        
- 
	                        
            
            Luka 7:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
- 
                            - 
                                        44 Ndipo akamgeukia huyo mwanamke na kumwambia Simoni: “Wamwona mwanamke huyu? Niliingia katika nyumba yako; wewe hukunipa maji kwa ajili ya miguu yangu. Lakini mwanamke huyu alilowesha miguu yangu kwa machozi yake na kuyafuta kwa nywele zake. 
 
-