-
Luka 10:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Basi walipokuwa wameshika njia yao kwenda aliingia katika kijiji fulani. Hapa mwanamke fulani aitwaye jina Martha alimpokea awe mgeni ndani ya nyumba.
-