-
Luka 16:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Halafu, akamwambia mwingine, ‘Na wewe, unadaiwa kiasi gani?’ Akasema, ‘Vipimo 100 vya kori vya ngano.’ Akamwambia, ‘Chukua hati yako ya mapatano uandike 80.’
-
-
Luka 16:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Halafu, akaambia mwingine, ‘Sasa wewe, ni kadiri gani ambayo unawiwa?’ Akasema, ‘Vipimo mia vya kori vya ngano.’ Akamwambia, ‘Chukua tena hati yako ya mapatano uandike themanini.’
-