-
Luka 16:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Lakini Abrahamu akasema, ‘Mtoto, kumbuka kwamba wewe ulipokea kwa ukamili vitu vyako vyema katika muda wa maisha yako, lakini Lazaro kwa ulinganifu alipokea mambo mabaya. Hata hivyo, sasa yeye anapata faraja hapa lakini wewe umo katika maumivu makali.
-