-
Luka 24:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Yule aliyeitwa Kleopa akajibu, akamwambia: “Je, wewe unakaa peke yako kama mgeni katika Yerusalemu na kwa hiyo huyajui mambo ambayo yametukia humo siku hizi?”
-
-
Luka 24:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa kujibu yule aliyeitwa jina Kleopasi akamwambia: “Je, wewe unakaa peke yako kama mgeni wa nchi nyingine katika Yerusalemu na kwa hiyo huyajui mambo ambayo yametukia ndani yalo siku hizi?”
-