-
Yohana 3:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Yeye ajaye kutoka juu yuko juu ya wengine wote. Yeye atokaye duniani ni wa kutoka duniani na husema juu ya mambo ya duniani. Yeye ajaye kutoka mbinguni yuko juu ya wengine wote.
-