-
Yohana 5:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Ndipo huyo mtu akawa timamu katika afya mara hiyo, naye akachukua kitanda chake akaanza kutembea.
Basi siku hiyo ilikuwa ya sabato.
-