-
Yohana 5:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Mtu yule akaenda zake akawaambia Wayahudi kwamba Yesu ndiye aliyemfanya awe na afya nzuri.
-
-
Yohana 5:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Huyo mtu akaenda zake akawaambia Wayahudi kwamba alikuwa ni Yesu aliyemfanya timamu katika afya.
-