-
Yohana 12:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Wakati nyinyi mna nuru, dhihirisheni imani katika nuru, kusudi mwe wana wa nuru.”
Yesu alisema mambo hayo akaenda zake na kujificha kutoka kwao.
-